About Us
Karibu ZOA FASHION hapa utapata nguo mpya,viatu,saa nk tunafanya delivery kwa wakazi wa DAR na kwa wateja waliopo nje tunawatumia kwenye gari,bei zetu ni nafuu sana. Pia kama wewe ni mfanya biashara ungana nasi tukutangazie/kuuza bidhaa zako katika website hii wasiliana nasi whatsapp 0767107473 kupewa utaratibu. KARIBU SANA